John kirua
Senior Member
- Dec 7, 2021
- 143
- 108
Yeah ni kweli aiseehuyo hutowezena naye huko mbeleni kama hakuna vifungo bora kila mtu ashike njia yake.
Hadi wana jf mumfundisheSasa mazee unakuja kutulalamikia sisi tutakusaidiaje? Uamuzi ni wako. Kwani umelazimishwa kuishi naye? Kama vipi mwambie kila mtu awe ana-contribute kiasi fulani kwenye matumizi yenu kila mwezi au kama hataki basi aondoke. Au hili nalo mpaka ufundishwe?
Hapana ndg sio kama na lalamika but nimekuelewa wazo zuri AsanteeSasa mazee unakuja kutulalamikia sisi tutakusaidiaje? Uamuzi ni wako. Kwani umelazimishwa kuishi naye? Kama vipi mwambie kila mtu awe ana-contribute kiasi fulani kwenye matumizi yenu kila mwezi au kama hataki basi aondoke. Au hili nalo mpaka ufundishwe?
Wangekutana na demu kama Demi si wangejinyonga kabisa! Kila birthday anataka gari mpya!Hadi wana jf mumfundishe
Mkuu unifanya nimecheka kwenye usafiri wa umma kwa sautiSasa mazee unakuja kutulalamikia sisi tutakusaidiaje? Uamuzi ni wako. Kwani umelazimishwa kuishi naye? Kama vipi mwambie kila mtu awe ana-contribute kiasi fulani kwenye matumizi yenu kila mwezi au kama hataki basi aondoke. Au hili nalo mpaka ufundishwe?
Umeamua - Kiswahili.βHiv ni kwanini mwanamke umehamua kuishi nae wote mnafanya kazi
Lakini anakutegemea kila kitu ndani basi nimenunua mwanaume kila kitu ndani bado ni mtihani hata kama sabuni imeisha anaitaji utoe ela yako wakati vitu vidogo kama ivyo anauwezo wa kufanya
π³π³Umeoa chuma ulete a.k.a Narcissist
Maoni mengi ya wadau humu mwishoni yanasema"achana naye" hvi hichi kizazi cha sasa kuna kuzeeka mkiwa kwenye ndoa...Mmh nisiongee sana maana na mimi sijayamaliza...ushauri mwambie ukweli kiustaarafu kongoroa tabia zote alizokuja nazo kutoka kwao weka unazoona zitakufaa...ukiona vikoba havisaidi mkataze kuhusu swala la kuchangia matumizi hakikisha kila pesa inayoingia unaijua na kuikamata na kuipangia wewe..usimruhusu akamiliki pesa..angalizo hakikisha huduma zote anazipata.
[/QUOTE ushari mzuri sana nimekuelewa ππ
Asantee ππSijaoa alafu sipendi kabisa kushauri ndoa. Ila unaonekana una frustration sasa fanya hivi.
Badala ya kulaumu mke ukidhani ana uelewa na modern life, kwanini usimchukue mkakaa sehemu tulivu mkapanga mipango yenu.
Wewe kama kichwa cha familia ukampa malengo yako na matarajio ya wapi mfikie hapo baadae. Ukampa umuhimu wa savings, matumizi mazuri na sio kufuja mali, cost sharing, matumizi ya lazima, matumizi yanayoonekana (mfano umesema ana michezo na vikoba, si kuna muda vinavunjwa sasa huo mshahara anaotumbukiza uko akiupokea kikoba anafanyia nini?).
Katika mazungumzo hayo ni ama utakuta anagoma kukupa hela kwa sababu anajua au anadhania unahonga, kuna wanawake nasikia huwa wanalazimisha matumizi makubwa wakiwa na mentality "nisipozitumia si atazitumia kwenye umalaya".
Au unaweza kuta umeoa familia ya kimaskini, uchoyo na ubinafsi hana uzoefu na sharing. Hayo yote unaweza yabadilisha badala ya kulalamika na kuwa reactive pale unapoona hajanunua sabuni. Akiwa mgumu kubadilika na hamna watoto achana naye atakuchelewesha.
Si muogopi aisee maana na maamuzi ya wazi sanaMkuu pole sana,kwanza kabisa nikubaliqne na mdau hapa juu kuwa wewe "unamuogopa mke wako" hilo liko wazi...Sasa basi kitu cha kwanza kabisa ambacho unapaswa kukijua ni hiki km mke wako anafanya kazi na umemuoa ni LAZIMA muingie makubaliano ya kushare cost..ikiwa hatokubaloana na wewe basi atalazimika either kuacha kazi au kukuacha wewe....Sina mengine mkuu.