Ushauri: Naomba kufahamishwa ni VPN ipi ni nzuri zaidi?

BilioneaPATIGOO

JF-Expert Member
Jun 23, 2012
12,321
11,315
Kwa wale watalaam wa mambo ya technology

VPN ipi ni nzuri kwa matumizi?


======

images (3).jpeg


A virtual private network (VPN) extends a private network across a public network and enables users to send and receive data across shared or public networks as if their computing devices were directly connected to the private network. Applications running across a VPN may therefore benefit from the functionality, security, and management of the private network. Encryption is a common, although not an inherent, part of a VPN connection.

VPN technology was developed to provide access to corporate applications and resources to remote or mobile users, and to branch offices. For security, the private network connection may be established using an encrypted layered tunneling protocol, and users may be required to pass various authentication methods to gain access to the VPN.

In other applications, Internet users may secure their connections with a VPN to circumvent geo-restrictions and censorship or to connect to proxy servers to protect personal identity and location to stay anonymous on the Internet. Some websites, however, block access to known VPN technology to prevent the circumvention of their geo-restrictions, and many VPN providers have been developing strategies to get around these blockades.

A VPN is created by establishing a virtual point-to-point connection through the use of dedicated circuits or with tunneling protocols over existing networks. A VPN available from the public Internet can provide some of the benefits of a wide area network (WAN). From a user perspective, the resources available within the private network can be accessed remotely.
 
Ku-unblock (KUFUNGUA) website ambazo ni marufuku kuabrows kwa ile nchi yaani kama kuna website yyte imefungiwa kuabrows basi ukitumia VPN ni rahisi kuifungua, kuficha ip address yako yaani wanaokudukua au kukufuatilia taarifa zako wanakua wanaona internet protocol yako ambayo ni fake so inakua si rahisi kukamatwa au kudukuliwa , kudanganya wanaokufatilia kwenye internet kwa mfano inaweza kusoma uko Japan wakati kumbe uko Tanzania tandika

Na mengine mengi
Hv huwa vpn inasaidia nini aise
 
Kwa mimi natumia ProtonVPN sababu ni Open Source so we know how it works
Also haina dns leaks
Capture.PNG


Maana unaweza ukawa unatumia vpn au proxychains but bado kukawa na DNS leaks ambapo VPN provider wako anakua anamtegemea ISP wako katika some domains so unakua haupo salama 100%
1591286798351.png
 
Kwa mimi natumia ProtonVPN sababu ni Open Source so we know how it works
Also haina dns leaks
View attachment 1468712

Maana unaweza ukawa unatumia vpn au proxychains but bado kukawa na DNS leaks ambapo VPN provider wako anakua anamtegemea ISP wako katika some domains so unakua haupo salama 100%
View attachment 1468714
nimedhibitisha hili, kuna website nimeweza kufungua hadi mwisho na kujiunga na kufungua profile lakini baada ya muda mfupi account imekua suspended,
yani hio website unayeishi tanzania huwezi kufungua account au ku create profile
 
sjakupata vzur hapa
kwamba vpn nyingine zina dns leaks, hivyo ni kama unafanya kazi bure , nimejaribu moja kuitumia kufungulia website ambayo nchi ya tanzania kama upo huwezi kujiunga na hio website, sasa nimefika hadi mwisho nikafungua profile but wakashtukia , sasa nataka vpn ambazo huwez shtukiwa kabisa
 
au mkuu nikufafanulie vyema, kua kuna website ya nje ya nchi nataka kujiunga kupata huduma katika website hio, ila hawaruhusu watu au mtu anayeishi tanzania kuweza kufungua profile, sasa unaweza kunisaidiaje ?
No nchi gan maana hapo inabidi tupate VPN server ambazo zitakua nchi hiyo pia tunaweza kutumia VPS yangu Ku direct DNS traffics kwenye private tunnel ambapo traffic zitapita kwrnye server yangu then to destination kuna tool inaitwa iodine inaweza kufanya hivyo through ssh tunnel
 
Back
Top Bottom