eliakim xavery
Member
- Apr 24, 2015
- 98
- 74
Jamani Naitaji kusomea Udakitari Ila Elimu yangu DARASA LA 7
Naweza kutumia njia gani ili nifikie malengo yangu?
Umri wangu 24 years
Anhaaa safi kabisa mkuu bado una uwezo wa kutimiza ndoto zako.... Fanya hv nenda kaanze form one mpk four miaka 4 utakua na 28 then chukua mchepuo wa pcb a level miaka miwili utakua na 30 af kaanze chuo miaka saba ko utapokea ka degree kako ukiwa na miaka 37 utakua umetimiza ndoto zako......... Utafanya kazi miaka 23 then utastaafu.... Na usiogope ukifeli we rudia rudia rudia tena hata ukipata degree una miaka 45 ila cha muhimu utimize ndoto zakoJamani Naitaji kusomea Udakitari Ila Elimu yangu DARASA LA 7
Naweza kutumia njia gani ili nifikie malengo yangu?
Umri wangu 24 years
Anhaaa safi kabisa mkuu bado una uwezo wa kutimiza ndoto zako.... Fanya hv nenda kaanze form one mpk four miaka 4 utakua na 28 then chukua mchepuo wa pcb a level miaka miwili utakua na 30 af kaanze chuo miaka saba ko utapokea ka degree kako ukiwa na miaka 37 utakua umetimiza ndoto zako......... Utafanya kazi miaka 23 then utastaafu.... Na usiogope ukifeli we rudia rudia rudia tena hata ukipata degree una miaka 45 ila cha muhimu utimize ndoto zako
Ni miaka mitano kuna mmoja.wa intern ko kazi unaanza mwaka wa saba.....Udaktari shahada ya kwanza sio miaka 7,ni mitano
Haha asante MkuuAnhaaa safi kabisa mkuu bado una uwezo wa kutimiza ndoto zako.... Fanya hv nenda kaanze form one mpk four miaka 4 utakua na 28 then chukua mchepuo wa pcb a level miaka miwili utakua na 30 af kaanze chuo miaka saba ko utapokea ka degree kako ukiwa na miaka 37 utakua umetimiza ndoto zako......... Utafanya kazi miaka 23 then utastaafu.... Na usiogope ukifeli we rudia rudia rudia tena hata ukipata degree una miaka 45 ila cha muhimu utimize ndoto zako