Shindu Namwaka
JF-Expert Member
- Sep 22, 2014
- 4,911
- 3,084
Nahitaji kununua simu kupitia online shop kwa njia ya mtandao.nimefanya mawasiliano na website moja inayoitwa JUMIA SHOP wakaniambia nianze kutuma pesa kwa njia ya tigo pesa nahitaji kujua kama kuna mtu ashawai kununua bidhaa kwa kutumia website hii lengo nijue je nitafanikiwa au pesa yangu itakua imepotea? #tafadhari msaada wenu