Habari zenu wanajamvi? Nahitaji kununua gari kwa ajili ya biashara lakini kutoka na bei za kwenye yard kuwa juu nahitaji kuagiza moja kwa moja toka nje. Msaada naohitaji ni
1. Je nitumie kampuni gan maana wengine wanasema beforward ni wazur wengine wananambia nitumie tradecarview
2. Nawezaje kukwepa risk za kutapelewa kwenye mitandao?
3. Inachukua muda gani hadi gari kufika Bongo kwetu?
Asante kwa ushauri lakini ni vema ukatoa ushauri wa kujenga, coz hata hao wazoefu walipewa ushauri na wakaelewa kabla ya kuwa wazoefu. Au una yard nini unataka nije kununua huko?
mandingo6262 agiza gari toka beforward. They are reliable and their cars are fairly priced compared to other companies.
It may take 4 good weeks depending on the ship availability plus queue at the port.
Kaaaaaziiiiiii ni kwaaakooooooooo
Agiza japan..yard ni vimeo na wezi wakubwa it only takes 4weeks zikizidi 5 weeks...unapata gari inaeleweka...hao wa yard tairi wanabadili...spares ndogo ndogo huzikuti..kwa kifupi wanachakachua
Ndugu agiza gari japan beforward wako faster ndani ya mwezi gari yako itakua imefika bandarn lakin kuamakin kuchagua na hakikisha umechunguza picha zake vzr. Ila Autorec wanauza magar mazuri na mapya zaidi labda bei zao na kuchelewa kufika bandarin hapo ndan ya miez 2mpaka3.Swala la kutapeliwa kwasasa sio sana labda wasumbufu sana tena sana ni ma agent wetu tu . Gari gan unatka kununua?