Embu sahizi sikiliza RADIO Upendo upate maombi 107:7Shikamoni wakubwa zangu
Mimi ni kijana wa miaka 22, nimekuja mbele yenu kuomba USHAURI kwa haya yanayo ni kumba Katka maisha yangu hasa ya kielimu maana Nahisi Nimerogwa[emoji58] kuna matukio kadhaa yamejitokeza katika harakat zangu za kielimu mpaka Nahisi Nimerogwa. Kuna matukio matatu ambayo mpaka Sasa sielew nimeikuta nimekata tamaa
Tukio la Kwanza nikiwa primary miaka kadhaa iliyopita, shule nilikuwa nasoma ya private iliungua ktk uchunguzi wa walimu katika Tukio Hilo Walifanikiwa kumtambua mtuhumiwa mmoja ambae Katika mahojiano zaidi alinitaja mimi kama mhusika wa tukio hilo ili hali kwamba mimi sikuhusika kwa namna yoyote ile[emoji17] nilijaribu kujitetea lkn wapi, mwisho wa siku nilitimuliwa shule ile
Tukio la pili nikiwa advance shule fulani Kanda ya ziwa, kuna Tukio la kihalifu lilifanywa na baadhi ya wanafunzi hapo shuleni, ambapo wanafunzi walivunja kufuli za locker za wanafunzi wenzao kipindi wanafunzi wengine tukiwa prepo. Lkni baada ya uchunguzi walifanikiwa kutaja wahusika chakushangaza mimi pia nilitajwa na walimu kama mhusika, Aisee nilishangaa sana maana sikuhusika kwa namna yoyote na tukio Hilo. Utetezi wangu haukusaidia mimi kupewa suspension kuanzia mwezi wa 11 mpaka necta hii ilipelekea kufeli mitihani ya kidato cha sita.
Tukio la tatu, ni KIPINDI hichi nikiwa mwanachuo katika chuo cha diploma kada ya afya kozi medical laboratory. Kuna uhalifu umefanyika kwenye hostel za wanafunzi kuibiwa simu na pc. Ijapokuwa mimi nakaa nje ya chuo, lkn kuna mhalifu alikamatwa ambae si mwanachuo ni raia wa mtaani tu hivyo alivyokamatwa ktk mahojiano na Polisi alinitaja mm kwa majina kwamba ndie nimekuwa namsaidia kufanikisha uhalifu huo chuoni. Ilipelekea mm kukamatwa na kuwekwa lockup ilhali mimi sihusiki kabisa na nilitajihidi kujitetea hakuna anayenielewa. Sasa kesi yangu ipo kwenye bodi ya chuo nasubiri maamuzi tu. Na sjui kama nitafanya mitihani ya end of semister2
Nimekuja mbele yenu kuomba USHAURI juu ya haya matukio yanayonikumba maana nahisi kurogwa najiona sina thamani ya kuendelea kuwepo duniani.
Karibuni wakubwa zangu mnishauri nifanyaje mbona mimi tu!!
khaaa🤣🤣🤣🤭🤭🤭Acha kujiunga na makundi usiyoendana nayo ! Ni ngumu sana mtu kutaja jina lako wakati hakufahamu ! Ni watu unaozunguka wanaona wewe ndo wa kuangushiwa jumba bovu !!
Na server za jamii forum zikipotea tunakutaja chimbo boy we subiri 😀😀😀
Niliwai kuwa katika viatu vyako mara 1.Kiujumla tukuo la Kwanza alie nitaja namfahamu, lapili niliitwa tu na walimu.. Lkn hili la tatu nimestaajabu sana mtuhumumiwa ananitaja tena mbele yangu anakiri waz ku husika na Tukio na mm eti ndio mshirika wake.. Sura yake ni mara ya kwanza naiona
Mkuu hichi ndo kilichokua akilini mwangu nakiwaza baada ya kuusoma huu uzi. Jamaa wa RFA alikua anakiita kivuli. Kilikua kinamuharibia kila aendapo.Kuna jamaa alikuwa anasimulia kwny kipind cha sitasahau RFA........aliwahi sema kuwa alikubwa na hicho Kitu ...
Inakuwaje
Nikwamba akiwa kazin copy yake inatoka then inarudi home na kuanza kuleta vurugu kitaa......mfano kusumbua watoto wa watu n.k
But mshkaji akirudi home anashangaa kesi ni nyingi mtaani
Dunia Ni Zaid ya tuijuavyo[emoji23][emoji23]
Sivuti bangi.. Jina chimbo boy, kipind nasoma Nlikua na utaratibu wa kujichimbia kusoma peke yangu(bila discussions na wenzangu) ndio mwanzo wa Hilo jina chimbo boyAcha kuvuta bangi na huo usela mavi, mtu unajiita chimbo boy maana yake nini?
Sent from my CPH2219 using JamiiForums mobile app
Kwa mganga Tena? Shetani kwa shetani wanashtakiana? Nakushauri uokoke then roho mtakatifu atakusaidia kushinda yote hayo in Jesus Christ name!Nenda Kwa mganga isije ikawa una copy yako inafanya kazi, au huwa unatoka nje ya mwili bila kujijua
Halafu hii watu wanaidharau sana ila ukweli inasaidia sanaogea CHUMVI ya mawe!
wengine achana nao usiwajibu watakusumbua kichwa, anza kuzingatia ushauri wa kidini ulioshauriwa na watu ktk comments...Sivuti bangi.. Jina chimbo boy, kipind nasoma Nlikua na utaratibu wa kujichimbia kusoma peke yangu(bila discussions na wenzangu) ndio mwanzo wa Hilo jina chimbo boy
Kuwa makini sana, unapoelekea atafanya kosa mwingine hapa JF kisha wewe utapigwa ban.Shikamoni wakubwa zangu
Mimi ni kijana wa miaka 22, nimekuja mbele yenu kuomba USHAURI kwa haya yanayo ni kumba Katka maisha yangu hasa ya kielimu maana Nahisi Nimerogwa😑 kuna matukio kadhaa yamejitokeza katika harakat zangu za kielimu mpaka Nahisi Nimerogwa. Kuna matukio matatu ambayo mpaka Sasa sielew nimeikuta nimekata tamaa
Tukio la Kwanza nikiwa primary miaka kadhaa iliyopita, shule nilikuwa nasoma ya private iliungua ktk uchunguzi wa walimu katika Tukio Hilo Walifanikiwa kumtambua mtuhumiwa mmoja ambae Katika mahojiano zaidi alinitaja mimi kama mhusika wa tukio hilo ili hali kwamba mimi sikuhusika kwa namna yoyote ile😔 nilijaribu kujitetea lkn wapi, mwisho wa siku nilitimuliwa shule ile