Ushauri na msaada - pre and post paid mobile phone subscription

TIMING

JF-Expert Member
Apr 12, 2008
25,398
11,870
wAKUU,

Naomba ushauri jamani, kuna hawa jamaa wa post paid wametuvamia hapa job wanauza hiyo service kwa tigo na zain... wamejaribu sana ku-market products zao lakini nina wasiwasi na bottom line mwisho wa siku

Kwa wataalam, naombeni upembuzi wenu ili nifanye lililo bora

Na pia kwanini kutoka kwenye post paid inakua vigumu kuliko kuingia?
 
Bora Zantel wapo makini katika service zao hata rates
 
wAKUU,

Naomba ushauri jamani, kuna hawa jamaa wa post paid wametuvamia hapa job wanauza hiyo service kwa tigo na zain... wamejaribu sana ku-market products zao lakini nina wasiwasi na bottom line mwisho wa siku

Kwa wataalam, naombeni upembuzi wenu ili nifanye lililo bora

Na pia kwanini kutoka kwenye post paid inakua vigumu kuliko kuingia?

Mkuu kwa mtu binafsi sikushauri ujiunge na post paid. Kwa maana Unakosa uhuru. Baki na prepaid yako inakupa uhuru zaidi na kupanga matumizi yako.
 
Acid,
Post paidina faida kuliko hasara.
1.Faida kubwa ya kwanza, tarriff za post paid ziko chini kuliko pre paid.
2.Huishiwi credit, huongei kwa kujibana, haubeep na text inapobidi, sio kwa lengo la kuokoa pesa.
Hasara
1. Unakatwa fixed monthly charges kila mwezi, upige usipige.
2. Lazima uwe na nidhamu ya matumizi ya simu yako,vinginevyo bila inaweza kufika mpaka milioni.
 
Back
Top Bottom