Ushauri na masuala ya simu bure

Tripp

JF-Expert Member
Feb 2, 2018
899
1,543
Nikiwa nimebobea kwenye software na kuijua simu hasa smartphone ndani na nje nakaribisha maswali, mawazo kuhusu simu na kinachokusumbua
 
Me naitaji niweze ku root simu yangu ni tecno camon cx,

Naomba msaada wa kuroot.

App ipi inafaa nitumie kuroot?
 
Sim ya samsung note inabagua kusoma line mwanzo ilikua inatumia tigo na halotel voda airtel inagoma baada ya ku restore saiv inasoma airtel line zingine zinagoma
 
Nataka kuroot simu Aina ya Itel s11
VP Nipitie njia ipi nifanikiwe kuroot?
 
Back
Top Bottom