Huku kwetu Matembelewima chombo cha moto ni ile sigara ya Bob Marley.Chombo cha moto unamaanisha piki piki, gari, bajaji, au bunduki?
Una miradi yako inayokuingizia hela?
Usikimbilie kununua gari kama huna hela ya maana. Usitegemee mshahara kununua wese.
Jipange fresh utaenjoy gari.
Mkuu niliposema ushauri nilimaanisha vitu vya kufanya wakati wa manunuzi kuhusu matumizi hilo ni suala jingine'Mtoto wa nyoka hafundishwi kuuma'Kuna watu watasema unaroho mbaya, wachache sana watakuelewa. Ulichokiongea akiufuata huo ushauri hatojuta.