ushauri muhimu kwa mwigulu nchemba

ZE NDINDINDI

JF-Expert Member
Sep 19, 2016
1,885
4,012
mambo mazito yanayotokea dsm achana nayo bora ukae kimya maana unaaibika suala la yule aliymtolea nape bastola na hili la roma yameonyesha askari wako wanakudanganya mkuu hizi ni anga za bashite.think tank wa awamu hii usiziingilie
 
JAMAA TULIMSHAURI AKITEMWA BASI AJIUNGE NA CHADEMA TUPIGE KAZI ILI 2020 WOTE TUWE AMGOGONI..SASA NAONA ANASHANGAASHANGAA TU.
 
vip jamani ROMA kapatikana????..mana nlikuwa usingizin kidogo..mwenye taarifa rasmi anitag...
 
Mwigulu ni heri ajiuzulu tu .
Tena Mwigulu hakuna anachofanya afadhali ya Nape ametimiza wajibu wake pale ambapo ameona hapaendi vizuri. Mambo yote yanayoendelea hapa nchini ya kutekwa na watu kupotea Mwigulu atakuwa na kesi za kujibu hapo badae
 
Back
Top Bottom