Una lako jambi, hoja ilikuwa ni Mo chadema wameingiaje hapo?Mo ana maisha yake..usimpangie..nyie chadema mbona mmetokea kujipendekeza sana kwa MO..mnadhani atawafadhili ufipa..?? Pesa za mzee sabodo mlifanyia nini cha maana??
Maskini Ana kitu gani Cha kumshauri Tajiri
Tajiri Hata kushauriwa kaajiri Mtu wa kazi hiyo
Wewe tushauri Maskini wenzio umuhimu wa kuvaa kofia ngumu tunavyopanda maboda boda yanayoendeshwa Na Wanywa viroba
HahahaHa ha ha haaa... Mkuu umeniuwa ulivyoanza.
HahahaMaskini Ana kitu gani Cha kumshauri Tajiri
Tajiri Hata kushauriwa kaajiri Mtu wa kazi hiyo
Wewe tushauri Maskini wenzio umuhimu wa kuvaa kofia ngumu tunavyopanda maboda boda yanayoendeshwa Na Wanywa viroba
SureHujamsoma britanicca vyema.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nimekusikia
Ntafanyia kazi
Ushaur wako
Barikiwa
HMo ana maisha yake..usimpangie..nyie chadema mbona mmetokea kujipendekeza sana kwa MO..mnadhani atawafadhili ufipa..?? Pesa za mzee sabodo mlifanyia nini cha maana??
Ukitaka kujua ni ngumu, nenda kamuulize yule msanii aliyewah tekwaMo tafadhali usiwe mnafki tafadhali ongea na jamii ueleze kinagaubaga ni Nani waliokuteka manake unawafahamu.
Usiwe mnafki ongea ukweli utaheshimika kulipo ukiamua kuwasikiliza waliokuteka na kukaa kimya
Hahaha umeona wazungu wana lafudhi ya kitswanaHuu unaitwa ushauri maridhawa ... Ha ha ha ha haaa ...
... wazungu wanna lafudhi ya kitswana Du!!! Ha ha ha ha ha haaaa
Yaaani wanazidi kuyatindinganya tu ... na kawaida jambo ukilitindinganya tu baaaasi ndio linazidi kutindinganyika ...
Sirro kuyatindinganya kweli kweli basi tu watafanyaje ... Ndio ivo Tena mtoto kaunyea mkono ...