Super advisejaribu kuomba ushauri kwa mkeo kwanza
na wewe mtege na boxer, hapo mtakuwa sare sare mauaNaombeni ushauri jamani nipo njia panda,
House girl wangu ananitega sana kwani mimi huwa nawahi kurudi kwenye mihangaiko, tatizo linakuja huwa anashinda na kanga moja tu. Kila siku nakemea pepo la kumtaka.
Nifanyaje maana maji yapo shingoni na mimi bado kijana mwili unachemka.
Ushauri please
Ilo pepo ndio nalikemea sana ..ni asiri kutembea na vija kazi ata ukisoma bible imeandika jinsi manabii walivyofanya hivyo kwa wajakazi wao...kama unaona inafaa tembea nae tuu...si wako tena yupo mlangoni kwako..nani wa kukuzuia? au unataka wenzio wasiomgalamia wakusaidie kula?
Nimehisi labda tumekaa nae miaka miwili hajakutana kimwili ..joto lipo juuni asiri kutembea na vija kazi ata ukisoma bible imeandika jinsi manabii walivyofanya hivyo kwa wajakazi wao...kama unaona inafaa tembea nae tuu...si wako tena yupo mlangoni kwako..nani wa kukuzuia? au unataka wenzio wasiomgalamia wakusaidie kula?
Matombo nini?Nenda kimboka utawakuta

Mkuu hiyo sio hadithi kweliHilo pepo huwa ni baya sana mkuu,kuna mshikaji wangu yalimkuta alimtamani housegirl kwa muda wa miezi minne siku ya siku kamvizia wife kaenda job akabaki na beki tatu hm ile amemshika mkono tu anataka aanze kumuimbisha la haula wife kafungua mlango alafu kaduwaa kama dk moja alafu akarudi alipotoka alafu mbaya zaidi wife siku iyo karudi na mdogo wake,wote wameshuudia kila kitu bila chenga![]()
