Wild fauna
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 461
- 189
Salaaam wana Jf
Nimepata wazo la kufuga nguruwe , naomba wenye uzoefu na hii kitu anisidie ushauri. Namna gani ya kufuga ili kupata faida .
Nb: eneo ninalo la kutosha