Ushauri Mradi wa ufugaji wa nguruwe

Ushauri Mradi wa ufugaji wa nguruwe

Wild fauna

JF-Expert Member
Joined
Apr 22, 2012
Posts
461
Reaction score
189
Salaaam wana Jf
Nimepata wazo la kufuga nguruwe , naomba wenye uzoefu na hii kitu anisidie ushauri. Namna gani ya kufuga ili kupata faida .
Nb: eneo ninalo la kutosha
 
Bado haujajua kuitumia jf vzr. kila kitu kimeshajadiliwa humu ni juu yako kuzifukua nyuzi hizo, wao wanaita "makaburi"
 
Back
Top Bottom