Ushauri: Mpenzi wangu mpya ni Mzungu, nashindwa jinsi ya kumuomba pesa

Mpaka sasa amechezea Mbusule mara ngapi? kwa style zipi?
Nikutengenezee andiko. Mbona hapo jihesabu hela unayo tayari kwa write up nitakayokupa
 
Hello baby , I have some problems which needs money about $ 1000 . Please help me my beloved so that I can solve this.

Simple tu , wewe ukakwama wapi au huielewi kuwa umekuwa danga wa kimataifa?
Acha kumdanganya hahahaha Mimi enzi niko chuo nilipataga dem wa kizungu sasa mimi nikajua nimepata mtelezo aisee yule Dada utafikili mswahili akilipa bill utasikia anaanza kuongea kua nashaanga mwanamke nalipia bill sio tamaduni zetu wajerumani mwanaume ndo analipia akawa ananikata stim yaani ilinibidi niuze simu kipindi icho walau nikapata pesa tukiwa out namimi najikakamua kulipia..wazungu washakua wajuaji wanajua kwamba ngozi nyeusi wanakua kwenye mahusiano for benefits so mwambie aende nae pole pole..

Mimi nilipataga shida nilitaka ela Fulani kumwambia aiseee nisiri yangu.
 
Ni wapi imeandikwa kuwa mpenzi wako ndio atakuwa anakupa pesa za kutatua matatizo yako?
Kwanini unaingia kwenye mahusiano na expectations za kupewa hela na sio upendo?
Malengo yako na huyo mkoloni ni nini?
Badala ya kuwaza utamchuna vipi,pambana mwenyewe ujitatulie shida zako.Saa ingine mtu akiona bidii yako ni rahisi kuku support bila hata kumuomba kuliko ukitanguliza kumuomba.
Hili ndilo anatakiwa afanye asiweke expectations za kupata kitu kwasababu ni mzungu mchukulie kama uko na mbongo ivyo taratibu ataanza kujiongeza mwenyewe lakini ukianza kumuomba omba ela hakawii kukuacha.

Mimi nilikua na mdada wa kizungu yaani pamoja na kwamba alikua anauwezo kwao maisha mazuri na alijua kabisa sina kitu maana nilikua chuo the time na date nae lakini alitaka ni play part kama boyfriend tukiwa sehemu nilipie bills ikiwezekana kama tuanaenda vacation akiwa na wenzake nitachangia usafiri,nitamnunulia chochote ivyo yaani.
 
1.Kwanza kabla ya yote.... Ukiwa huna mwanaume shida zako kipesa unazimalizaje.... Why now huyo mzungu ndio awe wa kukupa hela???
2. Ndugu yangu kaolewa na Mzungu. Hao jamaa kwao hawana hiyo ishu za kuwapa wanawake hela. Maana kwao huko maisha ni haki sawa kwa wote so wote mnaweza kutafuta pesa bila kumsumbua mwenzako. Shukuru hata hizo mitoko analipa... Maana wengine mnagawana matumizi kabisa.
Sisi huku umasikini ndo unafanya msichana aone kuwa kuwa na. Mwanaume ndo sehemu ya utatuzi wa shida zake... Tena now ndo mnaweka kuwa ni lazima.. (hapa tatizo ni Umasikini).
3. Hapo subiri akuoe ndo utaona hela yake bila hivyo no way itaiona. Na siku shauri umuombe maana hawa Wako BRUTAL HONEST utaweza lia kwa jibu utakalopewa maana hamjazoea kupokea ukweli.
4. Ila jishikie mamito ( au jivike mabomu tu umuombe) maana kingine kinachokunyima confidence ni MINDSET YA UTUMWA. ya kwamba wao ni Race iliyo juu yako kama ambavyo walituaminisha since then so bado hujatoka kwenye hizo mindset ndo maana waogopa kumuomba.
5.Ila.kila la heri
🤣🤣🤣🤣🤣🤣 daaah ukweli mtupu wako honest kweli Kuna rafiki yangu alikuwa na mpenzi mzungu Kuna siku alimuomba hela akamjibu usiwe kama wanawake wanaopenda hela ,hela ya kukupa sina ila km unahitaj kuja UK nitalipia tiketi ya ndege 😂😂
 
Mimi ni mpenzi wake kwan natakiwa kumfanyia nini cha zaidi

Dada una miaka mingapi ? Unaonekana ni mdogo

Siyo jambo la lazima mpenzi wako kukupa pesa, maana naona unashangaa.. na unajiuliza hajawahi kukupa pesa ,utafikiri ni sheria imeandikwa mahali.

Kuna ka'influence unakapata kutoka kwa marafiki zako kuhusiana mahusiano yako na huyo mzungu juu ya pesa, wabongo wengi wanajua kila mzungu ni tajiri.

Unaogopa kuomba pesa kwasababu huna sababu za msingi wala shida yyte ya maana wala shida yyte ambayo ipo nje ya uwezo wako kuisolve, ila unataka kuomba kwasababu tu ana hela zipo, so kama ilivyo kwa wanawake wengi wana tamaa ya hela,
Tamaa ya hela ikiwatawala mapenzi yanakuwa hayaendi bila pesa..

Jiulize anakufanyia shopping, anakutoa out, anatoa muda wake mnakuwa pamoja.
JE WEWE UNAJITOA/UNACHANGIA NINI KWENYE HAYO MAHUSIANO???

Apart from sex what can you offer..?
Wewe tayari ni mzigo, usitamani kuwa mzigo zaidi.
 
Napata raha lakin yeye Ana uwezo kuna vitu nahitaji personal sio kila kitu nimwambie yeye ndo maana nahitaji awe Ana nipa cash kama pocket money
Yani wewe utoto bado unakusumbua sana masikini, itakuwa mzungu akikaa na kuongea na wewe haoni lolote la msingi kwenye future yenu, daah ! Upewe pocket money??

Ushauri wangu, jaribu kuwa wife material, jaribu kuwa mtu anaye jali kutoka moyoni na uonyeshe ku care, na uwe na upendo wa dhati kwa kuwa huna kingine chochote cha ku offer kwa mpenzi wako, ukiachana na sex- kitu ambacho kinapatikana kwa mwanamke mwingine.. basi ukifanya hivi utadumisha sana mahusiano yako!! Maana siyo kila mwanamke anaweza kuwa hivyo..
 
daaah ukweli mtupu wako honest kweli Kuna rafiki yangu alikuwa na mpenzi mzungu Kuna siku alimuomba hela akamjibu usiwe kama wanawake wanaopenda hela ,hela ya kukupa sina ila km unahitaj kuja UK nitalipia tiketi ya ndege
Wanamajibu ambayo sisi watu weusi hatujazoea kupokea. Jibu linakukata kuanzia kooni mpk tumboni
 
Wanawake wakizungu wamesha tujua tuna penda pesa zao hatu wapend wao kama wao
 
Dada una miaka mingapi ? Unaonekana ni mdogo

Siyo jambo la lazima mpenzi wako kukupa pesa, maana naona unashangaa.. na unajiuliza hajawahi kukupa pesa ,utafikiri ni sheria imeandikwa mahali.

Kuna ka'influence unakapata kutoka kwa marafiki zako kuhusiana mahusiano yako na huyo mzungu juu ya pesa, wabongo wengi wanajua kila mzungu ni tajiri.

Unaogopa kuomba pesa kwasababu huna sababu za msingi wala shida yyte ya maana wala shida yyte ambayo ipo nje ya uwezo wako kuisolve, ila unataka kuomba kwasababu tu ana hela zipo, so kama ilivyo kwa wanawake wengi wana tamaa ya hela,
Tamaa ya hela ikiwatawala mapenzi yanakuwa hayaendi bila pesa..

Jiulize anakufanyia shopping, anakutoa out, anatoa muda wake mnakuwa pamoja.
JE WEWE UNAJITOA/UNACHANGIA NINI KWENYE HAYO MAHUSIANO???

Apart from sex what can you offer..?
Wewe tayari ni mzigo, usitamani kuwa mzigo zaidi.

Asante Kwa ushauri
 
Back
Top Bottom