Ushauri: Mpenzi wangu amebadilika

hebu fuata ulichofata chuoni Huyo yupo Kwa akili ya kumfacilitate hapo chuo akiwa likizo Yupo Kwa bwanake dogo wanawake mungu wao alishakufa kitambo shauri yako ngoja udisco sijui utamwambia nini your sponsor
 
Soma kwanza kuna supplimentary mkuu hao wapo kila kona usije jinyonga bure
 
Unataka ushauri gani hapo sio size yako tena huyo
 
Piga chini aanza upya ...kwa maana kuanza upya si ujinga ...mzee baba tena Fanya hivyo bila kumwambia ..kimya kimyaa......!!! Jifunze kumwacha aende... .....
 
soma dogo....mwenzio ana kitega uchumi........chuo atakuzingua balaa
 
Wewe umefuata mapenzi au shule chagua moja kijana,hilo siyo lengo la kwenda chuo
 
Inamaana hujui kwamba anatongoza?

Dogo umeenda kusoma piga book

Utawakuta tu
 
Mapenzi yapo tu mdogo wangu, zingatia masomo yako
 


pole mkuu pole sana sana yani

binafsi nilishawahi kukutana na aina ya mwanamke wa namna hiyo tena alikuwa mwanachuo pia.

nilichokuja kigundua wakati ule ni kuwa watoto wa chuoni wengi wao ni wachafu.

kama unampenda basi anza kuzungumza na moyo wako ili uache kumpenda.

usimuini bro kwa maneno yake matamu

Huyo sio mwanamke tena kwaajili ya future yako mkuu.

tafuta mwingine tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…