Msamehe...Nina mpenz wangu nasoma nae chuo kimoja mwaka wa 1.....tulivyoenda likizo amebadilka sana....hana mda wa kuchat na mimi nikichat nae bas sms tano mwisho anasema kazi nyingi...tulivyorudi likzo nikakuta sms za mapenz kweny sim yake za kutongozwa na amekubali....Lakini amekiri kosa anaomba msamaha nini nifanye wadau wang naombeni ushauri plz
Daah asante kaka....Polee sanaa mzee maana hawezi kuacha ilaa atajitahidi Usizione tena hizo msg...!! Mkiwa chuo mpo wote akirudi kwao jamaa atamlaa tuu labda uende nae kwaoo...
100% sure kubali wew ulee akiwa chuo akirudi kwao jamaa amlee otherwise MUACHEE...!!
mpende hivyo hivyo tuNina mpenz wangu nasoma nae chuo kimoja mwaka wa 1.....tulivyoenda likizo amebadilka sana....hana mda wa kuchat na mimi nikichat nae bas sms tano mwisho anasema kazi nyingi...tulivyorudi likzo nikakuta sms za mapenz kweny sim yake za kutongozwa na amekubali....Lakini amekiri kosa anaomba msamaha nini nifanye wadau wang naombeni ushauri plz