the viking
JF-Expert Member
- Apr 23, 2017
- 1,170
- 1,373
Wamejuana kwa muda gani? Kama huyo jamaa ni addicted smoker huyu bibie hajawahi kuhisi harufu wakiwa wana kiss? Nijuavyo nicotine kwa mzoefu unaweza kuisikia hata akiwa anatoka kuoga.
wakati mwingine si rahisi kuhisi ile harufu ukizingatia hawako pamoja ila hupatana mara kwa mara katika miadi yao..hivyo huyu mwanadada anaweza akawa ile harufu ana njia za kuidhibiti..tena kuna sigara ambazo zina ile mint ta kupunguza harufu mfano danhillWamejuana kwa muda gani? Kama huyo jamaa ni addicted smoker huyu bibie hajawahi kuhisi harufu wakiwa wana kiss? Nijuavyo nicotine kwa mzoefu unaweza kuisikia hata akiwa anatoka kuoga.
hilo sidhani wamelishughulikia kwa sasa..wajua lazima awe tayari kusaidiwa ila hajaonyesha dalili zozoTe za kukomaAende kwa wataalamu wa saikolojia na daktari wa binadamu atasaidiwa
mkuu huoni hili laweza kuwa tatizo la kiafya kwa siku za halafu?tena wafahamu athari zake kama mwanamke ana ujauzito..demu kuvuta sigara ni ajabu kwa utamaduni wetu ila ukitembea kidgo kwa wenzetu sigara ni stimu tuu na ni staree kama mtu anavyokunywa pombe/soda ili mradi asivutie ndani.
ila hajaonyesha hamu ya kusaidiwa huyu..kwa maoni yake uraibu huu hautakuwa sababu ya kuvunjika kwa mapenzi yaoNicotine addiction ni mbaya sana iinahitaji psychological help.
ndio lakini msaada wa kisaikolojia ni muhimu..atakubali kubadilika tu akisaidiwahilo sidhani wamelishughulikia kwa sasa..wajua lazima awe tayari kusaidiwa ila hajaonyesha dalili zozoTe za kukoma
mkuu huoni hili laweza kuwa tatizo la kiafya kwa siku za halafu?tena wafahamu athari zake kama mwanamke ana ujauzito..
ushauri anaoutaka ni wa kumsaidia kubainisha hatua atakayochukua..kama kuna matarajio ya kuwa huyu mpenziwe anaweza kuacha kabisa hana tatizo ila kama sivyo basi..Njia pekee ya kumsaidia ni kwanza huyu dada akubali kuwa hili ni tatizo na anahitaji msaada
nitafikisha ushauri kaka..asantendio lakini msaada wa kisaikolojia ni muhimu..atakubali kubadilika tu akisaidiwa
asante mkuu kwa ushauri..ila si sawa kabisa mwanamke kutumia sigara..haina shida akiwa na mimba apunguze.
haina tofauti na pombe kuna wachina wanakula sigara sana wanazaa vizuri ukiuliza historia wazazi wao na walikuwa chain smoker.
sigara ni kama vitu vingine tunavyotumia sisi ambao sio wavutaji kama pombe unga chewing drugs. vyote ni tatizo. na sio kila mwili sigara inakataa mtu kuna watu wanavuta 40 years wako kawaida tuu
poaushauri anaoutaka ni wa kumsaidia kubainisha hatua atakayochukua..kama kuna matarajio ya kuwa huyu mpenziwe anaweza kuacha kabisa hana tatizo ila kama sivyo basi..
nitafikisha ushauri kaka..asante
si wanandoa bado..mwenzetu anaomba ushauri tu..kama hamna complications za baadae hatakatiza mapenzi na nia yake ila kama kuna matatizo ya aina yoyote huenda ampotezee..Namuonea huruma mtoto atakaezaliwa.