Ushauri: Mke wangu amekuwa haniheshimu

Kuna watu hamjui kumwacha mtu au akili zenu zinakuwaga mbovu....huwezi kunitukana mm na wazazi wangu halaf niombe ushauri


Utarudi kwenu ukiwa na meno pungufu ili uwe na adabu.



Pumbavu.
 
inawezekana wewe ni jipu labda...
 
Matatizo yote yanaanzia ndani... Samahani ndugu yangu lakini inaonyesha uko dhaifu kitandani... Tafuta ushauri wa sexology waliopo karibu.
KUMBUKA :USIPOMPIGISHA KELELE MWANAMKE KITANDANI ATAKUJA KUPIGA KELELE BARAZANI.
Kaka unaweza fikiria hivyo lakini hata ww mwanamke kama huyo huwezi hata kuwa na hisia nae tena
 
Kuna watu hamjui kumwacha mtu au akili zenu zinakuwaga mbovu....huwezi kunitukana mm na wazazi wangu halaf niombe ushauri


Utarudi kwenu ukiwa na meno pungufu ili uwe na adabu.



Pumbavu.
Yeye matusi yote anakutukana kwa sms yaani unawwza zima simu
 
Kuna watu hamjui kumwacha mtu au akili zenu zinakuwaga mbovu....huwezi kunitukana mm na wazazi wangu halaf niombe ushauri


Utarudi kwenu ukiwa na meno pungufu ili uwe na adabu.



Pumbavu.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] Eti ukiwa na meno pungufu
 
Kwani umezaliwa nae tumbo moja mkuu??
 
No offence, ila inaonekana wewe ndio umeolewa, dume zima unalalamika ndugu yangu, mi nategemea ungekuja kuomba ushauri hapa unamrudiaje mkeo baada ya kumtengua kiuno kwa utovu wa nidhamu, sasa na wewe unakuja kulialia, aya bwana we endelea kutukwana labda upo ndoani kujifunza matusi.
 
sasa mkuu hilo ni la kuuliza... weka vibao yaan kila anapoanzisha weka makofi tena yale mtapisho... akiendelea mpe heshima yake!!!!
 
Mkuu naishi mbali na family yangu lakini tatizo kidogo lazima ahusishe family yangu mpaka mama yangu mzazi kasusa kuja kwangu kwa tabia yake
soryy unamwanamke mpumbavu mwee.. muignore ndiyo dawa mkuu miezi tu atakuwa na adabu
 
Kaka embu jaribu kujichunguza wewe mwenyewe.. vip unamrishisha mwenzio kitandani...?
Je mawifi hawampendi..?
Je unamsimamo wewe kama mwanaume?..
 
Piga, saa zingine akili zinakuja kwa kupiga
 
Kwemaa!? Sijakutia machon
 
je unamtegemea chochote hasa kwenye mapato ya familia??

hapo unapokaa ni kwake au kwako??

amekuzidi kipato??

maana mwanamke wa kiafrica akikuzidi kipato ni shidaaaa...
 
Mkuu pole sana! Kama mwanzoni mliishi vizuri na sasa shida imeanza lazima kuna kitu hakiko sawa, yawezekana upande wako wewe au life style ya maisha yenu imebadilika kidogo!

Kama mwanzoni ulikuwa mtu wa kuonyesha kuwa uko vizuri ukawa unafanya mambo makubwa kwake, na sasa hayo mambo hayapo tena, ni dhahili hili huchangia sana wake zetu tabia zao kubadilika!

Mbaya zaidi aje agundue kuwa uliyokuwa unafanya mwanzoni mengi ilikuwa ni show off, mkuu hiinitakuwa shida kidogo!

Na kama labda hali ya uchumi ya kifamilia imetetereka na hujamwelewesha ukamjenga kisaikolojia hili nalo laweza kuwa moja ya sababu!

Wake zetu hawa huwa wanapenda kushirikishwa mambo mengi tangu mwanzoni, na tena kujengewa mazingira ya kujua kuwa mda wowote hali yaweza kubadilika na kuwa mbaya hivyo ikitokea hivyo mkae bega kwa bega!

Na kama kubadilika kwa tabia kwake hakukusababishwa na hali ya kiuchumi, vipi kuhusu mambo yetu yale ya wakubwa[emoji87] [emoji87] , Je unampeleka mpaka anapotaka au ndo safari huwa inaishia njiani kila siku? Hili nalo huwa ni chanzo cha dharau, kama lipo angalia jinsi ya kulitatua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…