Habarini wakuu
Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
Hahahahaa... anaweka rinda rehani...Mumewe atakupenda zaidi
Mkuu achana nae, mumewe hana utani na uchi wa kiumbe yeyote aiseeeHabarini wakuu
Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
Muache mke wa mtu huyo.Habarini wakuu
Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
NikubalieMkubalie
Me mke wa mtu?Nikubalie
Hahahaha.....Mumewe atakupenda zaidi
Aaahh sawa sawa umenogaMe mke wa mtu?
Nitaamini vipi bila screenshots za sms?Habarini wakuu
Naomben ushauri wenu niko njia panda sielewi nifanyaje kuna binti flani ni rafiki kwangu lakini ameolewa ila anadai ananipenda sana na kudiriki kusema anajiskiaga vibaya akiniona na mwanamke mwengine. Nifanyaje wakuu ukizngatia na mim nilikuaga namtamani enzi akiwa hajaolewa
Advice bora kabisaMtu akiwa in a relationship na kukutamani, hilo halina shida. Crushes happen from time to time. Shida ni when they start acting on it.
Mwambie a-concentrate na ndoa yake.
Sasa na wewe ulikuwa unamtamani kabla hajaolewa and you did nothing. Sasa hivi kaolewa ndo unataka u-act on your desires. Acha hizo.
unganisheni vi**joleoHabarini wakuu