sawima
JF-Expert Member
- Jul 9, 2019
- 5,750
- 8,942
Shida kwelikweli utadhani yy ndio muamuzi wa kaka yake.Halafu shemeji mtu anakuja kuuliza kama ni mke wa kuendelea kuishi naye kama vile ni mke wake hata tukimpa ushauri ataufanyia nini.
Sent using Jamii Forums mobile app