Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 29,342
- 94,023
Vipi kama watoto wamepelekwa kwa baba halisi na hiyo mimba ina mwenyewe mwenye hao watoto wengine na sio huyu ndugu yetu?Si rahisi mwanaume achukue mkeo akiwa na mimba yako na watoto wako wawili moja kwa moja unless ww ni mzembe sana au humtaki tena. Watalala nae ila mwishoni watakuachia mkeo na kiburi chake kitaisha.
Huenda watoto na mimba sio vyakoUna watoto wangu wawili, una mimba yangu, mm nakujali ila ww ndo una pozi najishusha niende wapi? Utarudi tu maana si rahisi anayekupa kiburi akakuweka ndani.
Kama sio mimba yangu na watoto si wangu ss napoteza nn muda na mwanamke mwenye watoto wawili na mimba juu? Wanawake walivyozidi duniani.Huenda watoto na mimba sio vyako
Mabaharia tunaita " kumkata mabawa" .hawezi kuruka huyo.Una watoto wangu wawili, una mimba yangu, mm nakujali ila ww ndo una pozi najishusha niende wapi? Utarudi tu maana si rahisi anayekupa kiburi akakuweka ndani.
Wote?😳😳😳Ukte hao watoto sio wake