TATIANA
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 4,695
- 2,449
kwa simu za budget 4.5 inches ndio utapata option nyingi. ila kwa 5 inches likely utapata kasoro fulani. mfano simu kama galaxy grand, ina kioo 5inch lakini resolution ni ndogo hivyo kioo quality yake inakuwa ndogo ukikiangalia kama kimemwagiwa maji ya mchele. na ukikuta ina kioo kizuri (kama hii lumia 540) basi utakuta processor/gpu ipo slow kukiendesha kioo chenye resolution kubwa. kama upo tayari kuishi na hizo weakness hizo simu nilizozitaja kama lumia 540/535, galaxy grand, samsung galaxy note 1 zote unaweza pata kwa budget hio.
kama utashuka hadi 4.5 inches utapata simu zenye sd410 nzuri kama
-galaxy core prime
-huawei y550
-motorola moto e
na kama utaongeza budget kidogo angalia simu kama galaxy grand prime au grand 2, flagship za 2013 kama galaxy s4, lg g2, xperia z, htc m7 etc
Asante sana mkuu kwa ushauri wako... Nimekupata vilivyo na nitafanyia kazi ushauri wako... Ngoja nizicheki.