Ushauri: mchumba wangu hata sielewi....

Uchumba sugu nao, miaka mitatu unamchunguza tu? Huku kwetu umasaini ukipewa mtamba wenye mimba unafurahia, mlipie mahari umuoe fasta
 
Kibongo bongo unapotezea na mausiano yanakatika hapohapo, ukileta uzo za ki america mtatuona mazuzu sana
 
Mkuu, pole kwa yote, kubaliana na hali, msamehe, songa mbele na maisha yako.
Nahisi hyo mtoto hata nikimsamehe tukarudiana atakuwa kumbukumbu mbaya maishani mwangu
 


Don't lie. I wsh i ngekuwa yngu
 


Don't lie. I wsh i ngekuwa yngu
 
U
mwambie hivi:
Huyo aliyekujaza tumbo aendelee kukukojolea tu, kwanza mi nilikosea we siyo saizi yangu, natafuta Bikira, sitaki li changu doa!!

kisha anza kusoti 18+
Ushauri mzuri maybe I can use it. Thx
 
Kwani hujui hii ni sikukuu mkuu labda ameshiba pilauuu na Pepsi baridiii
Kwangu Imekuwa cku mbaya kiwnyama. Anytime narudi zangu dar maana washanivunga
 
G
ngoja nijaribu
 
Uchumba sugu nao, miaka mitatu unamchunguza tu? Huku kwetu umasaini ukipewa mtamba wenye mimba unafurahia, mlipie mahari umuoe fasta
Nilikuwa nimekuja kukamilisha kla kitu sa nimeyakuta hayo.
 
Mkuu wewe baada ya kushukuru kwa Mungu kukuonyesha rangi halisi ya huyo dada wewe ndio unakuwa na huzuni? Furahi na mshukuru Mungu sana kwa kukuwekea wazi huyo kabla ya kufunga ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…