Aiseee....! Huenda anamke\au mchumba mwingine maaana sio hali ya kawaida.
Ila pia kuna watu Wa mapenzi ya msimu. Hususani akishapata game.
Cha msingi akomae kumbadilisha taratibu Huyo jamaa!! Au kumchunguza Huyo jamaa.
Daaah nimecheka saana, et mwanaume unaweza kumbadilisha nepi tuuu.... Ha HaaaaUnaweza badilisha mwanaume nappy tu tena utotoni ...huwezi badilisha tabia yake.
Back to maimatha mwambie mdogo wetu aende taratibu na huyo mtu wake, apate muda wa kumfahamu zaidi. She should not offer her cookie yet otherwise atakuja ku regret unless na yeye anapitisha tu muda.
Mtu anabadilika yeye kutoka ndani, yeye ndo anaamua kubadilika na wewe utamsaidia tu kumuongoza na kumtia moyo. Usije ukapoteza muda kujidanganya eti ntambadilisha fulani, kama unaweza just Mpende kama alivyoDaaah nimecheka saana, et mwanaume unaweza kumbadilisha nepi tuuu.... Ha Haaaa
Heaven Sent
Mwanaume anaweza kubadilika bwana, kwa jambo kama hilo...
Japo ni taratibu saana, na sio kirahisi....
Amchunguze vizuri anaweza kuwa tunda.Huyo jamaa ana mke lazma