Ushauri Mchumba Mkurya Mbabe

Wapo vizuri sana. Nimeishi kwenye jamii zao zaidi ya miaka minne, ni wavumilivu sana kwenye ndoa, wanapiga sana kazi nk.
Kwahyo unataka mke wako ndo apige kazi,we ukiwa unafanya nini?
 
We nae hujakua vizuri yaani ushalipa mahali afu ndo unakuja kuomba ushauri ili iweje? Ukadai au?

Anyway weka ndani hana shida huyo na utashukuru siku 1 hawana shida hao na hakuna mkamilifu!
 
We nae hujakua vizuri yaani ushalipa mahali afu ndo unakuja kuomba ushauri ili iweje? Ukadai au?

Anyway weka ndani hana shida huyo na utashukuru siku 1 hawana shida hao na hakuna mkamilifu!
mahali imeshalipwa nusu kiongozi sio yote
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…