Braza Kede
JF-Expert Member
- Nov 1, 2012
- 5,165
- 8,959
- Thread starter
-
- #21
Haaahaa mm mjumbe tu kiongoziSasa ulivyomuoga hata kuandika kwenye fake IDs kuwa ni wewe unaogopa! Unafikiri akipita humu atakujua. Sasa uoga wote huu unataka demu wa kikurya utamuweza kweli? Kaoe mdigo wa tanga ule raha kuwekewa iliki kwenye maji na kuogeshwa.
Wakuu kuna jamaa yangu kapata mchumba (mke mtarajiwa) wa kikurya.
Jamaa anataka avute mazima aweke ndani ila ana wasiwasi huyo demu atamgeuka huko mbeleni maana demu hajakaa kizembezembe ni kama mbabembabe fulani kiaina.
Jamaa anaomba ushauri kwa anaewajua hao wakurya na tabia zao maana asijekuwa amejiletea mandonga wa kumchezeshea vitasa kila uchwao.
Ni bora umri uende kuliko ujichanganye kuoa.
kiongozi asante kwa ushauriSema tu ni wewe mkuu tukushauri. Iko hivi unachokiona kwa shemeji habahatshi, ndivyo wakurya walivyo. Aina yao ya mazungumzo unaweza sema anakufokea au anakulazimisha, ila hapana ndio walivyo na ndivyo wanavyolelewa.
Sasa iko hivi, kama huo ubabe ni ule tu wa kikurya huo wala hauna shida, ni jambo la kumzoea tu na kusonga. Ila kama ana ka ubabe ka tabia binafsi ambako sio ka kikabila ambako angeweza kuwa nako mwanamke wa kabila lingine tukasema hafai basi huyo pia hafai. Ila kama kale ka ubabe ka kabila lao hako hakana shida ndivyo walivyo mkuu.
Nawaelewa sana wakurya. Ni moja ya makabila machache yalitobaki tz ukipata mwanamke una enjoy kwa sababu ya tamaduni zao, hawanaga kudeka hao eti umemtolea mahari halafu aanze kusema nina kwetu nirudishe waala.
Zingatia niliyokuambia mkuu, mchunguze kwenye hizo pande mbili ukigundua ni ule ubabe wa asili yao tu, oa huyo mke mkuu, utakuja kunishukuru.
Kabisa. Inategemea mtu na mtu
Kachukua mandoga mtu kazi subiri kusikia ndoige
duh sa itakwaje?Oa mkapigane vizuri
Aachane nae atafute mwingine ebwana hii Nchi Ina wanawake wengi wengi wengi mno, wengine ingizo jipya kila Mwakani kama mbabembabe fulani kiaina.
Duuuuh kimbia taratibu pipa hilo usije ukaangukaOa mkapigane vizuri
Wengine hawana masihara...Kabisa. Inategemea mtu na mtu
πππ