mhuri25
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 3,718
- 5,345
Mkuu nimesoma CBG mwanzoni hiyo Chemistry ilinipa wakati mgumu kidogo...Ila ndio nilikaza hapo hapo na nikachomoa B ya chemistry zngine C....Nikueleze tu Chemistry ndio nyepesi hapo ila Biology na Geography ni pana sana....Kikubwa kama unaona hali ngum kabisa chagua masomo mawili tu katika Combination yapigie msuli Wa kutosha hasa yaan hata kuoga sahau kabisa... Hiyo ndio njia rafiki zangu walitumia na sahv wengi wameshamaliza University!!