Medical Abdusalam
Member
- Apr 29, 2017
- 24
- 2
Asallam alykum,, kiukwel me kidogo napata shidaa kweny comb yangu hasa kwenyee chemistry, Nahadi sas imebaki miez michache tukutane namtihani wataifa naomben ushauri wenu wanandugu nitumie mbinu gani ziniokoe [emoji120]