Artery Member Joined Jul 11, 2015 Posts 67 Reaction score 52 Feb 7, 2016 #1 Nina wazo la kuinvest kwenye mashamba ya miti ya mbao au milingoti, mwenye uzoefu kwenye sekta hii naomba ushauri namna ya kuanza, gharama za mwanzo hasa kwa anaenza small scale maeneo ya iringa na tanga please nijuze
Nina wazo la kuinvest kwenye mashamba ya miti ya mbao au milingoti, mwenye uzoefu kwenye sekta hii naomba ushauri namna ya kuanza, gharama za mwanzo hasa kwa anaenza small scale maeneo ya iringa na tanga please nijuze