McNair
Senior Member
- Mar 18, 2017
- 182
- 130
Salaam
Niende moja kwa moja kwenye mada
Wakuu naomba kujuzwa
Iv ni mambo gani au vitu gani unashauriwa kumfanyia au kumpa demu ambaye unaenda kukutana naye kwa mra ya kwanza kwa muda ambao mtaweza kupiga stories na kuzungumza mambo mkiwa wawili kwa muda wakutosha?
Nimeuliza hivo sababu huyu demu nilikutana naye njiani nikampenda kwa sababu tofauti tofauti nikaomba namba zake akanikubalia kunipa baada ya wiki moja hivi nilipopata muda baada ya shughuli zangu za hapa na pale nilimuibukia kumtongoza na akanikubali. Ila sasa mpaka muda huo nilikuwa nishaanza kumsahau alivyo ambapo na yeye alisema hivo kwamba hanikimbuki nilivo ashaanza kunisahau hivyo tukaahidiana tutenge muda na tufanye tukio la kukutana tena ili kutazamana upya na kufahamiana, kupiga stories zaidi na kufurai pamoja.
Hivyo basi tunatarajia kukutana na ninajiuliza nimwandalia mapochopocho gani ili maongezi yetu yanoge? Nimpelekee zawadi ya namna gani? Etc.
Nawasilisha...
Sent using Jamii Forums mobile app