Ushauri: Mama mwenye nyumba ananitega sana

Kanungila Karim

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2016
Posts
20,746
Reaction score
25,638

Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yeye ananiita mtani.

Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi Dar.

Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe anakuja amefunga kanga tu.

Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule, nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe TV nikawasha.

Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yeye huyo kafika akaniambia ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aiseee si akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda huo nikamwambia naenda sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha ITV-KIPIMA JOTO, Akasema njoo kwanza nikarudi akaanza kunishika shika masikioni, nikamwambia nooo!!
Sipo tayari akauliza kwa nini? Nikamwambia leo sijisikii kufanya hicho unachotaka, akaniuliza ina maana mmii mbaya? Nikasema hapana ila leo sina hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana ila nikimwangalia huyu mama ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi mwenyewe ndo nipo above 21 nikasema hapana.

Akaniambia njoo angalau mara moja tu tux nikampa moyo kuwa subiri kesho yaani leo. Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?

Huyu mama sitaki kutembea nae n coz ni kama mama yangu, pia, watoto wake japo wapo hostel chuoni kwao hapa hapa nahofia wakija jua kuwa namuondomola mama yao na tunaheshimiana sana.

wazo la kuhama limenijia usiku wa leo sana.
USHAURI WENU TAFADHALI​
 
Nyani mzee kakwepa mishale mingi na kuku mzee ndio mwenye supu tamu pia kumbuka ng'ombe hazeeki maini. Waweza kukuta mnato kuliko hao teenagers uliowapitia. Wanaume tupo vizuri shauri kama hili ungemaliza tu.
 
Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yeye ananiita mtani.

Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi Dar.

Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe anakuja amefunga kanga tu.

Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule, nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe TV nikawasha.

Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yeye huyo kafika akaniambia ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aiseee si akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda huo nikamwambia naenda sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha ITV-KIPIMA JOTO, Akasema njoo kwanza nikarudi akaanza kunishika shika masikioni, nikamwambia nooo!!
Sipo tayari akauliza kwa nini? Nikamwambia leo sijisikii kufanya hicho unachotaka, akaniuliza ina maana mmii mbaya? Nikasema hapana ila leo sina hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana ila nikimwangalia huyu mama ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi mwenyewe ndo nipo above 21 nikasema hapana.

Akaniambia njoo angalau mara moja tu tux nikampa moyo kuwa subiri kesho yaani leo. Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?

Huyu mama sitaki kutembea nae n coz ni kama mama yangu, pia, watoto wake japo wapo hostel chuoni kwao hapa hapa nahofia wakija jua kuwa namuondomola mama yao na tunaheshimiana sana.

wazo la kuhama limenijia usiku wa leo sana.
USHAURI WENU TAFADHALI​
Hii picha ya aliyesimama ni ya beautifully Fidelia, umenikumbusha moments flani.

Kuhusu mama mwenye nyumba nakushauri itii sauti inenayo moyoni mwako.
 
Hakuna cha Zaidi!Kula tu!Hata shetani atakushangaa ukiacha!Maisha Yenyewe Yakwapi!
 
Huyu ni Joyce Kiria kama sie bac ni kibajaji
 
Huyu mleta mada anatuchosha tu,huo Uzi wake ulishawahi kuletwa humu na mdau mwingine,sikumbuki exactly ni lini ila amecopy na kupaste.
Nashauri apewe BAN ya wiki!!
Cc.Admin
 
Nilipohamishiwa kanda ya ziwa kikazi toka Dar. nilimtafuta dalali ili anisaidie kunitafutia nyumba, kweli alipata nyumba ya mama mmoja hivi ambaye kiutamaduni ni mtani wangu na yeye ananiita mtani.

Sasa kwanza hana mume, mumewe alifariki mwaka jana mwezi wa 4 na ana watoto wakubwa tu wengine wapo vyuoni na mmoja anafanya kazi Dar.

Toka mwezi huu uanze ameanza kunionyeshea tabia fulani fulani, kila nikitoka kazini anakuja ndani mwangu anakaa na wakati mwingine kumbe anakuja amefunga kanga tu.

Jana nimetoka kazini nikapita Hotelini kula nikakaa hadi saa 2 usiku nimerudi home aliposikia nafungua mpango tu huyo akaja na chakula nikamwambia nimeshiba nishakula, akanilazimisha kuwa chukua ule, nikapokea nikakiweka mezani then akakaa, akaniambia niwashe TV nikawasha.

Nikaenda kuoga kurudi naingia chumbani na yeye huyo kafika akaniambia ngoja nikupake mafuta nikasema hapana sipaki mafuta usiku, aiseee si akakaa kitandani!! kumbe hakuwa na nguo ya ndani akabenua kanga mapaja hayo nje nje kweli nilipata mfadhaiko muda huo nikamwambia naenda sebuleni kuangalia kipindi fulani hivi cha ITV-KIPIMA JOTO, Akasema njoo kwanza nikarudi akaanza kunishika shika masikioni, nikamwambia nooo!!
Sipo tayari akauliza kwa nini? Nikamwambia leo sijisikii kufanya hicho unachotaka, akaniuliza ina maana mmii mbaya? Nikasema hapana ila leo sina hamu kabisa ki ukweli nilikuwa na hamu sana ila nikimwangalia huyu mama ni mtu mzima sana ni above 50 na mimi mwenyewe ndo nipo above 21 nikasema hapana.

Akaniambia njoo angalau mara moja tu tux nikampa moyo kuwa subiri kesho yaani leo. Sasa ndugu zangu leo nitamdanganyaje tena?

Huyu mama sitaki kutembea nae n coz ni kama mama yangu, pia, watoto wake japo wapo hostel chuoni kwao hapa hapa nahofia wakija jua kuwa namuondomola mama yao na tunaheshimiana sana.

wazo la kuhama limenijia usiku wa leo sana.
USHAURI WENU TAFADHALI​
Sio vizuri ILA mkaribishe mchumba aje akae hata SAA moja tu
 
Lichupi libaya utadhani chandarua cha msaada
 
Mkuu leo mwambie huwezi kusex naye hadi mkapime. Mkienda ukikuta yupo mzima. Kula mzigo atakupunguzia ukali wa maisha kwa asilimia 60 maana utakaa bure, utakula bure, pengine na keep change utapewa. Pia atakupunguzia gharama za kuhonga vischana vidogovidogo ambavyo unakuta vina wanaume kumi. Yeye anachohitaji ni dawa tu hana shida ya kupigwa ovyo
 
Ningekua mm ningetoka nje ningempigia k vant moja kufuta aibu baada ya hapo angeamka saa nne
 
Back
Top Bottom