Ushauri: Mama mkwe wangu kaja bila taarifa

Wanaume Hatulalamikagi vitu Kama Hivyo, ILa Tunajiongeza Katika Kutafuta Jinsi gani Tupate Mahitaji, Kwa Wewe Unaonekana Huna Utaratibu Mzuri tu, Na Mambo yako ya Kifamilia, Pili Kwa Maelezo yako Unaonekana Mchanga Sana Kudili na Familia.
 
Wakati unaoa binti yake ulijitambulisha kuwa uko share na Mengi kwenye biashara. Harusi kubwa ya kuchangiwa. Hayo tu kwa Leo.
 
Duh na hii hali ya magufur mbon namb utaisoma,ww hamna kukimbia nyumb yaki,fany hivi kanunue vya kula vya jumla,nunua unga wa ugali,mchele,dagaa sado,mafuta,unga wa ngano,na maharage,ukimaliz hapo kununua mkabidhi mkeo vitu mwambie mim ndo uwezo wang huu km nyama tutakula kila wiki angau mara mbili au mara moja jins ela inavyopatikana,hapo mkuu unakuwa una muachia mam watoto ela kidogo lbda ya vitafunio nyumbani,hawa wazee ukiwazoesh utajuta mimi namuon bibi yangu upande wa mama wamemleta home kuj kusalimia tang February hd leo hii anasalimia ana visa balaa,akila maharage siku atanuna huyo na majivu atakula eti kiungulia,lkn mpe chai y maziwa,mikate yenye siagi ndo anapenda,chai vikombe viwili asubuh,samaki,jion tena chai,soda ndo wanapenda yani wanatia hasara san hawajui kunakupat n kukosa,wenyew wanajua siku zote ni kupata tu alafu ukizingatia ana watoto wake wakium wameoa ila ataki kwenda huko,yani usiwaendekez san ht km ni mkwe wako kina chopatikan ndo hiko hiko kitaliwa
 
Tatizo anapenda vitu vingi mfano asubuhi chapati 5,Mara aseme ana hamu na sambusa,mayai ,sprite nk vitu kibao ase ,usiombe ahitaji supu dah bora kaondoka ase
 
Utakua unatania, elfu kumi imekuleta humu???? Utakufa na uchoyo wako na ndio maana Mungu hakuongezei... Nyambafuuuuuuuuuuuuuu
Unaongea hivyo sababu haijakutokea ,ila nakuombea isije kukutokea ,ombea yasikukute
 
[emoji478][emoji478][emoji478][emoji478][emoji478][emoji478][emoji478]

Anyway chakula ni mavi tu...
 
Huo mlo wa elfu kumi Kala nini??? Au ulijifanya unamtoa out???
Mkeo hajui kupika?? Kwa sababu huwezi kutuambia unaishi kwako aafu unakula mgahawani na una mke na watoto.

Chai hiii
Chai bila sujari wala asali
 
Acha ubahiri .
Chuku laki nanusu hemee vyakula vya miezi mingi
Yaani,sukari,kg 20,
Michele kg 30,
Mafuta liter 10,
Unga sembe na dona kg 20/
Maharagwe kg 13:
Hapo utakuwa unabadili Mboga tu.
Huku ukiwa na kg 12 ndani za dagaa nyasa

HAITOSHI HELA YAKO HIYO NI UONGO
 
Umenikumbusha jamaa alikua anamwambia mkewe "baba ako ameweka milonjo yake kwenye ndala zangu" nyie watu nyie teh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…