mama ako ni tofauti na mkwe mama ako una uhuru wa kumueleza hali halisiHuyo ni mama yako, angekuwa mamako wa kukuzaa ungekimbia au ungekuja kusema huku?? Kama ni mgonjwa na unauwezo unastahili kumhudumia huyo mzazi na sio kulalamika
Hapo ndo unapokosea, hata mkweo una Uhuru wa kumueleza hali halisi, hapo tayari mmeshaunganisha familiamama ako ni tofauti na mkwe mama ako una uhuru wa kumueleza hali halisi
Bila shaka ww ni mwanaume wa DarNdugu zanguni wiki yangu imeanza vibaya nioneeni huruma,
Jumamosi nilipata ugeni wa mama mkwe wangu bila ya kupewa taarifa lakini ugeni huu umekuwa mtihani kwakweli leo nimetumia 10,000 kwa mlo mmoja tu wake yeye nimepiga mahesabu kwa mlo 3 ni 30,000 na mfano akikaa kwa siku 10 nitakuwa nimetumia laki 3 kwa msosi wake yeye tu bado mimi na watoto wangu hapa hatujala,yani leo kanitisha saa 6 hii nimetumia 10,000 kwa chakula chake yeye tu.
Naombeni ushauri nimfukuze, nikimbie nyumba niage nasafiri mpaka pale atakapoondoka, naombeni msaada wa mawazo ndugu zanguni nina mawazo tele hapa huyu mama kaja kunichanganya akili tu hapa.
Acha ubahiri .
Chuku laki nanusu hemee vyakula vya miezi mingi
Yaani,sukari,kg 20,
Michele kg 30,
Mafuta liter 10,
Unga sembe na dona kg 20/
Maharagwe kg 13:
Hapo utakuwa unabadili Mboga tu.
Huku ukiwa na kg 12 ndani za dagaa nyasa