Ushauri: Mama mkwe wangu kaja bila taarifa


Cku nyingine ukiwa unatoa thread uwe unjua kabisa KIA kuna watu wazima na akili Zao "qouma wee"

Eti mama mkwe anakula 30000/=

Hivi we unafikili kulisha familia ni kama unavyokula wewe kipumbavu

Wengine tumeoa we we ukiwa nursery usutuletee uqouma
 
Hiv sisi wanaume tumefikia mahali pa namna hii kweli? Unapata mgeni unalalama?
 
Halafu nakufaham mkuu...
Kumbe ndo ulivyo.
Ntamshirkisha huu uzi ili na yy ashuhudie masimango.
 
Yaani mama mkwe,, Ninavyompendaa,,, kweli watu hutofatiana,,
 
Uchoyo unaumiza sana
 
Mfukuze tu ndugu yangu maana huna namna .au kama umeshindwa mlete kwetu ila aje na mwanae yaaani mkeo atakaa siku anazotaka atakula atakunywa na atalala
Hahahahhhh we ni mwehu
 
Mama mkwe ni mama yako pia, ni wajibu wako kuhakikisha anapata mahutaji yake.
 
Mm nataka kujua kwa nn mama anakula peke ake kisipikwe cha kula mkala kwa pamoja kingne mkuu mpe wifi hela kila mwisho wa mwez anune vitu vyote vya muhimu vya ndani mtakua mnatumia elf 5 tu mm ktk vitu nipo makini ni kuwa na kila kitu ndani wala hupati shida siku unaweza ukawa huna hela unajipikia zako tu wala huna shida
 
Nawaza mume wako nae aingie humu akute picha ya mamake na Maelezo hayo sijui atajisikia vibaya kiasi gani
 
We unaloliweza ni lipi?mana msosi tu ushakuja kulalama huku...
Jamani, tuseme tu ukweli hata kama mtasema ni ubahili. Kweli ndo ale elf kumi yote peke ake? Sasa watoto atawaachaje? Na kwann asije kwa taarifa?
 
Wanaume huwa hatuyumbishwi na mambo madogo kama hayo.Ni rahisi sana kwa ndugu za bwana kumchukia mkeo na familia yake wakijua kuwa si mwanafamilia wenu na hivyo hivyo kwa ndugu wa mkeo Lakini ni vigumu sana kwa mwanaume kumchukia mama mkwe kwa sababu za kijinga kama hizo pia ni rahisi sana mama zetu na dada zetu kuchukiana na wake zetu.
wewe jamaa ni MUME UCHWARA,kwanza unadanganya mama yako mkwe amekula elfu 10 asubuhi tu,dah aisee shame on you brother.Huyo mama akijua kuwa umekuja kulalamika huku hali ya kuwa amekula chapati mbili za 600 na mayai labda mawili au mkate wa bakharessa wa buku jero na viyai ,Kesho anaondoka huyo. na ukitaka aondoke mfungulie simu yako kisha MUONESHE HUU UZI NA JINSI WATU WALIVYOCHANGIA. Ataondoka ila baada ya siku mbili utakuwa unalea watoto menyewe.
 
Sijaelewa, hivi ukiwa na familia kila siku unanunua chakula? Au imekaaje?

Mfano Mimi bachelor! Nanunua vyakula vya mwezi mzima naweka ndani, wewe imekaaje hiii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…