COARTEM JF-Expert Member Joined Nov 26, 2013 Posts 3,617 Reaction score 3,680 Apr 25, 2025 #1 Ili kuongeza dhana ya uwajibikaji na uchungu kwa nchi, nashauri Makanisa yote Tanzania yaanze kulipa kodi ya mapato TRA ili kuongeza pato la taifa.
Ili kuongeza dhana ya uwajibikaji na uchungu kwa nchi, nashauri Makanisa yote Tanzania yaanze kulipa kodi ya mapato TRA ili kuongeza pato la taifa.
Royal Son JF-Expert Member Joined Dec 22, 2016 Posts 1,467 Reaction score 2,760 Apr 25, 2025 #2 Na Misikiti nayo ilipe pia ila wenye Makanisa watakakuwa na haki ya kuhoji matumizi ya Pesa ndio itakuwa mwanzo wa Udini
Na Misikiti nayo ilipe pia ila wenye Makanisa watakakuwa na haki ya kuhoji matumizi ya Pesa ndio itakuwa mwanzo wa Udini
COARTEM JF-Expert Member Joined Nov 26, 2013 Posts 3,617 Reaction score 3,680 Apr 25, 2025 Thread starter #3 Royal Son said: Na Misikiti nayo ilipe pia ila wenye Makanisa watakakuwa na haki ya kuhoji matumizi ya Pesa ndio itakuwa mwanzo wa Udini Click to expand... Wote tu walipe KODI
Royal Son said: Na Misikiti nayo ilipe pia ila wenye Makanisa watakakuwa na haki ya kuhoji matumizi ya Pesa ndio itakuwa mwanzo wa Udini Click to expand... Wote tu walipe KODI
LOTH HEMA JF-Expert Member Joined Dec 6, 2015 Posts 26,790 Reaction score 41,286 Apr 25, 2025 #4 Hayafanyi biashara, kodi ya nini?
KING MIDAS JF-Expert Member Joined Dec 1, 2010 Posts 10,569 Reaction score 21,075 Apr 25, 2025 #5 COARTEM said: Ili kuongeza dhana ya uwajibikaji na uchungu kwa nchi, nashauri Makanisa yote Tanzania yaanze kulipa kodi ya mapato TRA ili kuongeza pato la taifa. Click to expand... Hiyo Kodi iitweje?
COARTEM said: Ili kuongeza dhana ya uwajibikaji na uchungu kwa nchi, nashauri Makanisa yote Tanzania yaanze kulipa kodi ya mapato TRA ili kuongeza pato la taifa. Click to expand... Hiyo Kodi iitweje?