assadsyria3
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 6,903
- 4,051
Hii ni sijui Mara ya ngapi namsikia akipata shida sana Na social media.
Kwa hulka ya raisi wetu,si kwakuwa ni raisi Bali tangu akiwa waziri anapenda kutumia Nguvu Na ubabe. mfano tu ni suala la kuvunja tanesco Na baadhi ya bomoabomoa ambazo mh pinda aliwahi zizuia.
sasa role ya social media Mara nyingi ni kuonyesha mapungufu Na kukosoa Na si kumpangia AMA kumlazimisha raisi akifate.
kwa muda sasa rais hataki kuchukua ukosoaji positively always amejenga dhana kuwa ukosoaji ni kutaka kumwangusha au kumuonyesha udhaifu la hasha.
tunamuomba rais hii mitandao ya kijamii aichukulie positively ili imsadie kupata fikra ambazo hata washauri wake wanaogopa kumweleza.
yapo mengi sana ayafanyie kazi.
mfano sakata la Bashite
sakata la katiba mpya
sakata la watu kupotea
Uhuru WA vyombo vya habari Na Uhuru WA kujieleza ktk social media
kufuata utaratibu WA kibunge kutumia fedha Za walipa kodi, mfano manunuzi ya ndege,nk
Tutambue
"For every action there is equal and opposite reaction"
Tusichukie kwa hoja mbadala