Ushauri kwenu kina Dada

Ushauri kwenu kina Dada

Kwanzaa Asante kwa kutoa pole..

Ungeanza kuongea na hao wanaume wanaoshangilia Makalio makubwa sijui na hips ingekuwa vyema..

Hawa Wenzetu huwa wanausoma upepo, wanaume wakipenda wanawake weupe basiii kila mwanamke yuko busy na mikorogo.

Wanaume ndo wangeweza kutusaidia hili bila kuwa na unafiki msishadadie hayoo.....
Umenena we kiumbe
 
Kila mwanamke ana uzuri wake wa asili ndio maana tunachagua tunayempenda rangi, makalio, hips havina nafas kwangu hata uwe mweusi kama lami kama nimependa nimependa tu tena napenda natural ndio watamu zaidi!
 
Back
Top Bottom