USHAURI KWA YEYOYE MWENYE HOFU YA KUTEKWA.

KAGAMEE

JF-Expert Member
Dec 20, 2013
4,267
5,175
Poleni na majukumu wakuu.

Kumekuwepo na hofu ya kutekwa kwa wabunge,mawaziri,wasanii na raia wa kawaida. Hivyo basi kama wewe ni miongoni mwao naomba UJARIBU KUWA KARIBU NA MUNGU maana wanaokuja kukuteka wanakuja wakiwa hawajamtanguliza Mungu,Hivyo wakija watakuja na kukutana na Mungu unayemuamini kulingana na Imani yako.

Kumbukeni FIRAUNI alichofanyiwa. Wanaowatuma hao watekaji kwanza hawana hofu na Mungu. Pili hawafikirii namna gani Mungu anachukizwa na vitendo vyao viovu. Hivyo ni rahisi Mungu kukulinda.

MUNGU AWATANGULIE MNAPOPIGANIA TAIFA HILI.
 
Back
Top Bottom