choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,289
- 4,093
Nashauri darasa la saba lifutwe, badala yake libaki darasa la sita tuu na ndilo lifanye mtihani wa taifa
Baada ya hapo watakaofaulu wasiende form one kwanza bali wasome lugha tuu(English) mwaka mzima kisha wafanye mtihani wa lugha halafu waende sasa form one mwaka unaofuata,
Hapo itasaidia kuelewa vizuri lugha ya kingereza watakapoanza masomo ya sekondari kuliko kulazimisha orientation ya miezi mi 3