Hamujambo wadada na wapenzi wa jf.
Mwanamke ningependa kukushauri jambo moja la mwisho wa mwaka huu.
Ukitaka ugomvi usitokee nyumbani masaa yote basi muheshimu mumeo.
Mwoneshe unamjali na pia akiwepo ubadilishe tabia zako na kumuona yupo.
Kama ulikuwa unaattention na mengine acha kwanza muwahi yeye.
Ila siku hizi attention ni mke mdogo ndio anapenda kufanya na atakulia hela ya matumizi ya nyumbani muishie kulala na njaa.
Mule mlo wamawazo hata kama unakazi mkono mmoja hautamaliza kila hitaji la familia.
So hata ukiwa na mtoto mdogo jaribu kutenga muda wakuwa naye.
Hata kama atatoka njee atakuwa anakumbuka nyumbani kwa mambo unayompa eti.
Sio sex no kumuona baba yeye ndio yeye na chakula kitamu apikiwe.
Kudekezwa adekezwe unajua tunakosea wapi kwenda kwenye ndoa na mtu humpendi kutoka moyoni raha ya ndoa ni kumpenda mtu toka moyoni.
Lingine kwa sisi ambao tuko njia panda au single ladies ukitaka kuolewa namtu jaribu kuangalia je ni mtu mtaendana sio kwamba hamuendani halafu sio kisa kasema will u marry me .
Nawe maana uko single ukasema yes utajuta sana .
Tena sana kwa maana unaishi namtu akidhani unampenda.
Kumbe unapretend jamani itafikia muda utachoka na ndio visa vitaanza na utakuwa single na umechuja sasa huoni umetumika na umewaste your time.
Kuna tofauti kubwa kati ya masingle mother ambao hawajaolewa na ambao wameolewa.
Na tofauti yao ni hii hawa ambao hawajaolewa wanajitunza kutozeeshwa wanajipendaga sana kama nini hata milo yao ni tata .
Sio wote wanajirahisisha wengi wanajitunza.
Nawalioachika watakuwa walijitoa kwa familia so wao wanakuwa wameshachoka sijasema sana but hii ya kuosha nyumba kuletewa stress kila saa kugombana kuteswa na bwana.
Kuuumizwa moyo mara watoto .
Nikali eti ndoa ni shida kama hujaridhia .
So ridhika na yule wa maisha hata kama unataka mwenye hela bora umtafute tu kwa hali na mali uolewe sio kwenda tu .
Later utakuja regreat wakati time ni over ukishasema i do ndio kwisha.
Usikubali ndoa if ni umetafakari uliza moyo kwani unampenda .
Sema tu unampenda.
Au humpendii.
Halafu ndio uwende kwa moto.
Ili baadae msije pishana maelezo ukawaste your time and energy.
Couze anaweza atake attention na asipate kisa humfeel unakuwa unamtolea sababu halafu ndio anapata mwanya wa kutoka nje .
NIWATAKIE HERI YA CHRISMASS NA MWAKA MPYA