USHAURI KWA Wanaume

mwanaume kutafuta hela kwa lengo la kuwavutia wasichana ni upungufu wa akili, na mwanamke asipotafuta hela kwa kumtegemea mwanaume ni ukosefu wa akili.
 

iyo sloopu na ita jaa kukutokea puani napia ni kama umeme waluku.
 
Last edited by a moderator:
usitafute feza kwa ajili ya wanamke utafirisika,we tafuta fedha ikusaidie kimaisha
 
iyo sloopu na ita jaa kukutokea puani napia ni kama umeme waluku.


Kwa mjinga sawa, inaweza kumtokea puani. Lakini kama mtu una malengo yako kwa nini ikutokee puani? Mwanamke anazo na anakutaka na pia yuko radhi akutunze, yaani wewe utakaa tu bila kujishughulisha kisha unatunzwa? Si ujinga huu? Mtu na malengo bwana. Kwa sababu wewe huwezi piga miti kila kukicha lazima utapata utapia mlo (kuchoka) upende usipende.
 

kwi kwi kwi hapo napompendaga Boflo
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…