Nimetoa ushauri kwa wenzangu na ww pia waweza toa kwa wenzako...lolKwa hiyo wanawake tusitafute hela?
Wakati kuna wanaume nao wanashobokea wanawake wenye hela! Kwenye mapenzi kuna choices mbali mbali lol.
Kwa hiyo wanawake tusitafute hela?
Wakati kuna wanaume nao wanashobokea wanawake wenye hela! Kwenye mapenzi kuna choices mbali mbali lol.
Nimetoa ushauri kwa wenzangu na ww pia waweza toa kwa wenzako...lol
King'asti nawe pia uko kwenye list ya wanga wa jf
🙄🙄😱🙂
No money no honey
sawa tumekusikia.....ila siku hizi tunalelewa