Jasho la Damu
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 956
- 120
- Thread starter
- #21
Kazi kubwa ya mwanaume ni ulinzi na usalama wa boma zake pia kupigana vita pindi inapotokea.wakati huyu mwanamke anazalisha mwanaume anafanya nn? Au ndo mambo ya kulelewa?(samahan wamasai nahtaji ufafanuzi tu)