Hiyo ndo iko matatani sana ha mwanamke anataka jina lake what do you mean??? Aisee kuna walakini hapo.
Waandike Julias Maganya and Jane Mtakuja mambo yaishe
Mume anataka iwe kama ulivyoshauri wewe na Lizzy, wanakubaliana ikitokea kasafiri akikrudi anakuta yale yaani owner Jane Mtakuja, kama kunahitajika ushahidi Mumewe ndo anakuwa shahidi

tamaa ya mali itawatokea puani waacheni wararuane vizuri kwani hawakusomana kabla ya kuoana?Ni ndoa changa ina miaka mitano tu, maisha yao mazuri kwa Baba na Mama wote wanafanya kazi nzuri tu na kimsingi ndoa yao ina amani na utulivukwa kiwango kikubwa.
Tatizo lao kubwa ni moja tu. Mama anataka anataka jina lake lionekane katika kila kitu kikubwa kinachonunuliwa au kumilikiwa na familia mfano hati ya kiwanja iandikwe jina lake badala ya jina la mumewe. Kwa mujibu wa Mama huyo haoni tatizo kwa jina la mumewe kutoonekana mahali popote. Hii kwa kiasi kikubwa imepelekea ugomvi wa hapa na pale ndani ya familia. Ikumbukwe kwamba baadhi ya makubaliano hufanywa na Mkewe pekee jamaa akiwa safari
Je kuna madhara yoyote kwa jina la mmoja wa wana ndoa kutoonekana katika umiliki wa mali za pamoja?
Je, kuna logic yoyote kwa mwanamme kutokubaliana na utaratibu huu wa mkewe?
Je, kwa mila na tamaduni za makabila mbalimbali ya Tanzania nani ni msimamizi au kiongozi wa familia?
Je, sheria ya ndoa ya mwaka 1971 inafafanua vipi utata uliopo hapa?
Nawakaribisha kwa maoni, michango na ushauri
Ni ndoa changa ina miaka mitano tu, maisha yao mazuri kwa Baba na Mama wote wanafanya kazi nzuri tu na kimsingi ndoa yao ina amani na utulivukwa kiwango kikubwa.