Ushauri kwa waliokosa chuo kupitia NACTE

Joined
Sep 23, 2017
Posts
6
Reaction score
1
Jaman nimemaliza form6 cbg Nina E bios E chem na S geog o level F maths j je naweza kusoma course gan?
Naomba mnisaidie nimeapply nimekosa nacte
 
Kuna mdogo wangu kapata three ya 24 hakuchaguliwa A level second selection.. sasa tumejaribu kuapply aanze kusomea Cheti level ya Clinical Medicine lakini wanatupa option ya Nursing tu na vyuo vya nursing tu... Hapo inakuwaje wa kuuu au system haijakaa vizuri bado!??
 
Tumia cheti chako cha Form 4, omba diploma Chuo cha Maji.
 
Kuna mdogo wangu kapata three ya 24 hakuchaguliwa A level second selection.. sasa tumejaribu kuapply aanze kusomea Cheti level ya Clinical Medicine lakini wanatupa option ya Nursing tu na vyuo vya nursing tu... Hapo inakuwaje wa kuuu au system haijakaa vizuri bado!??
System iko vizuri, hapo ni kwamba kwa koz nyingne nafasi zimejaa
 
Nafasi za Certificate in Clinical Medicine zimeisha zimebaki nafasi 50 tu katika chuo fulani walioomba mpaka sasa ni kama 800 hivi
 
Duuh...!! Hivi mtu huwezi kwenda kuomba Chuoni direct hata cha private!???
 
System iko vizuri, hapo ni kwamba kwa koz nyingne nafasi zimejaa
Poa sanaa mkuu...!! Ivi kama zimejaa kwa hela ile ilee nlolipiaa naweza badilisha nkaenda kuomba upande wa Engineering badala ya health..!??? Bila kulipia pesa nyingine maana hii nlolipa bado sijaa apply
 
Nacte wanadahili Afya na Ualimu tu hiyo labda uwaachie tu
 
Back
Top Bottom