Omari Issa
Senior Member
- Jul 26, 2012
- 168
- 45
important ni kwamba kuhusu chakula: hapo ndipo utakapoona tofauti ya hz colleges sita.
nikianza na COED kwetu huko ndiko kjj cha Ng'ong'hona kilipo na ndiko wajasi weng wapo huko. Wajasi hawa wanalisha Education & Natural science, pamoja na Earth science & Informatics.
Tofaut iliyopo kat ya chakula cha wajasi na cha Cafeteria ipo kwny quantity and quality and safety.
Nenda ujasi upate quantity kubwa kuanzia Tsh. 1000 (wali nyama ndizi viazi mchicha MAJI) vyote kwa pamoja but kubali kuwa risk~taker wa "afya yako" na pia quality ndogo.
Nenda cafeteria upate quality kubwa but poor quantity chakula kuanzia Tsh. 1000 (wali maharage) basi na pia kubali kuwa risk~taker wa boom lako.
Kuhusu college ya Humanities na social(CHSS) wao wanategemea wajasi waliopo kjj cha Makuru nje kdogo but karibu na swimming pool ambao kwa idadi ya wanafunzi huwa hawatoshi maana xaa moja kamili tu ucku msosi huwa taabu. Huko nako huduma ni zile zile but huku quantity ya cafeteria na ujasi karibu sawa.
Kwa hyo ni hiyari yako kuchagua.
Karibuni wadogo zangu
nijuze changamoto wanazozikumba wanafunzi wanaosoma geology apo udom yan masomo yao kiujumla
So it's risking Your Health and risking Your Money (choose one).
Ivi ni kweli kuwa wanao pata post udom hupata mkopo hata kwa kozi kama law
i simply meant: eating meals at WAJASIRIAMALI Cafes may sometyms risk one's health in the sense that as we come from different places being accustomed to different habits and traditions as well...so in new exposure lyk that one can get lots of disorders... Ujac's meals are prepared under quality...poor washing of the vassals..
As it does also in risking money at indoor cafeteria...every one who enterz there wants to show~off...u may buy 1500 sh. meal, 1000 soft drink, and 500 water which all cost 3000 sh. per meal. If u make it ur habit...u will b using more than 8000 sh. amount of which exceeds a HESLB estimated money per day (i.e. 7500 sh.)
.kivp uli hustle? ebu 2juze kakaa ume2 acha njia panda.Inawezekana kabisa. Mimi sikuwa na mkopo na nimetoka familia ya kawaida.
.ok ,kuna rafiki yangu kapangiwa hapo..BA of eductn in adult eductn &community dvlopment..sasa hyo koz atakuwa tcha wa kawaida 2 kama walimu wengne? na pia je ina wigo kiasi gan? nijuze.Karibuni wadogo zangu
Halafu nasikia BA of eductn hasa kwa wale wa arts takers hapo Udom huwa hazina mikopo..je yakweli hayoooo? tujuzane kaka.Karibuni wadogo zangu
Halafu nasikia BA of eductn hasa kwa wale wa arts takers hapo Udom huwa hazina mikopo..je yakweli hayoooo? tujuzane kaka.
Tafadhali wadau waliofanikiwa kujiregister OLAS mbona kila nikiingiza mpesa code inanambia invalid transaction id tatizo nn msaada waungwana¤
hilo chuo la ki se n ge sana. expect nothing
hilo chuo la ki se n ge sana. expect nothing