Ushauri kwa wadada ambao hawajaolewa

Kwa maisha ya kuunga unga sidhani kama utaeleweka, japo wengi wamekushukuru kwa ujumbe mzuri...!!
 
na pesa nayo ikiwemo....... huwez ukatenganisha mapenz na pesa hawa ni non identical twins
 
ukiona unapendwa na wengi basi dharau inazidi. Nimenote hapo nshawaona wa hivi. Tena si kupendwa ni kutamaniwa tu. Akipita mtaani anaskia miluzimiluzi anajiona yeye ndo yeye
 

asante ushauri mzuri! penzi la kweli ndo kilakitu!
 
Si ndio yule mrembo wa Bongo movie aliolewa na Pedegee mmoja lakini alipewa kichapo mpaka mimba ikatoka...na mwenyewe alitoka nduki...

Pesa zinawatoea puani...

Wenye pesa kama si kukushushia kichapo cha mara kwa mara basi ndio unakuta analala nje siku mbili tatu...no respect at all...na akiona bado unamg'angania anakuletea na wanawake ndani kabisa...ukiendelea kumg'ang'ania basi anakutwanga talaka...unless mwenye pesa huyo awe mzee alojichokea...ila hawa vijana so called pedegee jiandae kwa stress...

Lakini kama pesa mmezisaka wote...ni full heshima...hata kama atachiti (maana ni nature yao) ndio wale wanatoa masharti kuliko IMF kwa michepuko yao ili mother house asishtukie...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…