Francis12
JF-Expert Member
- Sep 30, 2016
- 7,533
- 22,278
Ushauri kwa wabunge wote bila kujali itikadi za vyama vya siasa.
Naomba wabunge mtusaidie kuzuia hili katazo la TCRA kukataza online TV zisifanye kazi. Hapa linazuiwa Bunge na platforms zenu wanasiasa na kadhalika. Wanataka Magu na Makonda wakiita press conference na kurusha live kwenye TV. Wanaojibu wasiwe na access hiyo. Manji na Gwajima walijibu na kupitia online TV tukapata kila kitu. Maana television za kawaida zinakatazwa. Ipiganiwe hii wananchi tusiwe wapokea hoja za watawala peke yao. Majibu dhidi yao tusiyapate. Tuendako si kuzuri. Online broadcasting ziendelee mpaka watakapoleta hiyo sheria.
Ndimi Luqman MALOTO