bahaticaro
Senior Member
- Jul 20, 2012
- 100
- 31
kama wewe ni kijana ambaye una umri wa miaka 25 hii ni speacial kwa wasichana ukipata chance ya kuolewa aisee usiikatae cz i did my reserch about this marriage things nikagundua kuwa unamuhimu wa kuolewa mapema faida ya kwanza unajijengea heshima binafsi wazazi pamoja na jamii , pili unakuwa na chance kubwa ya kujipunguzia stress za kuwa na leo john kesho ally etc ingawa kuna baadhi waliolewa bdo wanafanya ujinga sitak kuwaongelea hao, tatu aisee hakun raha kama kuwa na watoto mapema yaan unawapata ukiwa bdo una nguvu kiafya na uwezo wa kufanya kazi ili kuwahudumia unajikuta ukifik miak 35 umeshamaliza kuzaa but this depends on the number of kids you want, apart from watoto pia kuna faida ya kujipunguzia risk ya magonjwa kama wewe na mwenzio mtakuwa waaminifu kwenye ndoa kwahy my dia girls mkipata hiz fursa zichangamkieni achaneni na fikra potofu za kusema bdo nakula ujana, oooh mara natak mwenye hela si na wew ufanye kazi upate za kwako...wengine naongopa kuchakaa nan alisema ukiolewa mapema utachakaa utakuja kulea wajukuu cz unajikuta unaolewa 35 una miaka 50 mwanao wa kwanza ana miak 15 sasa maan yake ni nini? kwa wale ambao mmeshachelewa polen ila jitahdin.